WATAALAMU Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Songea wamepewa elimu kuhusiana na kikokotoo.Elimu hiyo imetolewa na Meneja wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Mkoa wa Ruvuma (PSSSF) Edwin Msavangwa leo Septemba 29, 2022 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri Lundusi- Peramiho.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa