• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

MASHINDANO YA MICHEZO YA WATUMISHI WA MAMLAKAZA SERIKALI ZA MITAA TANZANIA (SHIMISEMITA) MWAKA 2024 KUANZIA 24 AGOSTI - 05 SEPTEMBA, 2024 KATIKA JIJI LA MWANZA

Tarehe ya Kuwekwa: June 30th, 2024


Katibu mkuu TAMISEMi ameridhia kuanza kwa maandalizi ya Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Watumishi wa Mamlaka ya  Serikali za Mitaa Tanzania‘SHIMISEMITA’ yanayoenda sambamba na kauli mbiu isemayo “ushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa taifa endelevu”  yataanza rasmi Agosti 24, 2025 Jijini Mwanza.

Mashindano hayo yenye lengo la Kuimarisha  Afya Na Mahusiano kazini kwa Maendeleo ya Nchi yatafanyika jijini mwanza ikiwa pamoja na mambo mengine lengo lake ni kuhamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu.

“Tunakili kupokea Barua ikituelekeza kufanya maandalizi ya Mashindano ya Michezo ya Watumishi wa mamlaka za Serikali za mitaa tanzania (SHIMISEMITA) na kifupi sisi kama timu tupo vizuri, tulianza mazoezi mapema ikiwa ni pamoja na kushiriki mashindano mbalimbali kwa ngazi ya mkoa, Wilaya na Kata, hivyo tupo vizuri na tupo tayari kwa mashindano” alisema Meneja wa Timu ya Halmashauri Wakili Msomi, Hussein Ramadhan Hamidu

“Ikibali kimetolewa kwa ajili ya kufanyika kwa mashindano ya SHIMISEMITA, hivyo, kila Halmashauri imetakiwa kushiriki kwenye mashindano hayo, kwakua tushajulisha kushiriki mashindano hayo sisi kama Halmashauri ya Songea tumeanza taratibu ikiwa ni pamoja na kushirikiana na Uongozi ili kufanikisha taratibu zote tayari kwa Mashindano” alisema Francis Shuka, Afisa Michezo Songea DC

Halmashauri ya Wilaya ya Songea kwa mara ya kwanza walishiriki Mashindano haya mwaka jana ambapo katika michezo iliyokuwepo walishiriki Mpira wa Miguu, riadha, Pooltable na bao ambapo waliishia hatua ya Robo faiaili katika Mpira wa Miguu nan  Nusu fainali kwenye bao.

Michezo ni furaha, Michezo huweka mahusiano mazuri kati ya Watumishi wa eneo moja na jingine, hivyo uwepo wa michezo kwa watumishi unaendelea kuongeza mahusiano mazuri kati ya viongozi na watumishi, lakini pia watumishi kwa watumishi.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI KIMEMALIZIKA KWA KUWEKA MAKUBALIANO ENDELEVU KWA MASLAHI MAPANA YA NCHI

    May 24, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA, WANATEGEMEA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA NA UBINGWA BOBEZI KATIKA HOSPITALI YA HALMASHAURI SONGEA

    May 21, 2025
  • MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    May 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SONGEA DC, LIMEMSHUKURU MHE. RAIS NA WAZIRI WA AFYA KWA KUIHESHIMISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    April 29, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa