MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango ameridhia kuweka jiwe la msingi mradi wa barabara ya Matomondo-Mlale Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma yenye urefu wa kilometa 3.5 iliyojengwa kwa kiwango cha lami nzito na kilometa 19 iliyojengwa kwa kiwango cha changarawe kwa fedha kiasi cha shilingi bilioni nne zilizotolewa na serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan Hassan.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa