Mafunzo kwa maafisa habari na wataalamu wa tehama kwa taasisi za serikali yanaendeshwa Mkoani Mtwara kwa mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara. mafunzo hayo yameanza march 20, 2017 hadi mardi March 27, 2017 yakiwa na lengo la kuboresha muonekano wa tovuti za Serikali.
Mafunzo hayo yanafadhiliwa na USAID Kupitia mpango wa uimarishaji wa mifumo ya sekta za umma (PS3)
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa