KINGA TIBA YA USUBI NA MINYOO KUTOLEWA KWA WANNCHI WA SONGEA
Halmashauri ya wilaya ya Songea kupitia Idara ya Afya kupitia Mratibu wa magonjwa yasio na kipaumbele amekutana na Wataalam ngazi ya Halmashauri kuweka mkakati wa namna ya kutoa kinga tiba ya Minyoo na Usubi kwa watoto kuanzia miaka 5 hadi 14.
Akizungumza kwenye Mkutano huo, Mratibu wa Magonjwa yasiopewa kipaumbele Bi Mapunda alisema
“ lengo la zoezi hili kwanza ni kuweka utayari kwa Wananchi na watumishi wa afya, kujipanga kwa ajili ya kuhakikisha malengo yaliyowekwa yakuwafikia walengwa yanagikiwa kikamilifu.
Aidha ametoa wito kwa wazazi na walezi kuhakikisha wanasaidia huduma hii inapatikana katika kila kaya.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa