• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

KATIBU Tawala Msaidizi, Utawala na Rasilimali watu Mkoa wa Ruvuma Ndugu Mketo azungumza na watumishi wa Songea DC.

Tarehe ya Kuwekwa: September 13th, 2022

KATIBU Tawala Msaidizi, Utawala na Rasilimali Watu Mkoa wa Ruvuma ndugu Bakari Ally Mketo amewataka watumishi kufanya kazi kwa weredi, kujitambua na kutekeleza majukumu yao kama inavyotakiwa.

Ameyasema hayo wakati akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea katika ukumbi wa mikutano wa Lundusi Peramiho.

Lengo la kikao ni kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili watumishi na kuhamasisha waendelee kuboresha utendaji kazi.

Aidha, amewapongeza watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Neema Maghembe kwa utendaji kazi wao katika usimamizi wa miradi.

Pia amewashukuru Viongozi wa Chama wakiongozwa na Mhe.Menasi Komba kwa utendaji kazi mzuri na usimamizi wa miradi.

‘’Mabadiliko ya Songea DC ni makubwa na ya haraka sana yanastahili pongezi hivyo niwaombe mzidi kujituma kati utendaji kazi ili muweze kwenda mbele Zaidi ya hapo mlipo’’, amesema ndugu Mketo.

Kwaupande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Ndugu Neema Maghembe  ambaye amewakilishwa na Afisa Elimu Sekondari Bumi Kasega amemshukuru Katibu Tawala Msaidizi kwa kuja kuzungumza na watumishi.

‘’Yote yaliyosemwa tumeyasikia, tumeyapokea na tunakuhaidi yaliyo ndani ya uwezo wetu tutaenda kuyafanyia kazi katika kutekeleza majukumu ya kujenga Halmashauri yetu’’, amesisitiza Afisa Elimu Bumi.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea wamempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Ndugu Neema Maghembe kwa kuwa karibu na watumishi, kuwasikiliza na kutatua changamoto ambazo zinawakabili kwa wakati.

Imeandaliwa na Bahati Nyoni,

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini.

Septemba 13 2022.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI KIMEMALIZIKA KWA KUWEKA MAKUBALIANO ENDELEVU KWA MASLAHI MAPANA YA NCHI

    May 24, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA, WANATEGEMEA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA NA UBINGWA BOBEZI KATIKA HOSPITALI YA HALMASHAURI SONGEA

    May 21, 2025
  • MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    May 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SONGEA DC, LIMEMSHUKURU MHE. RAIS NA WAZIRI WA AFYA KWA KUIHESHIMISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    April 29, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa