• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

KATIBU TAWALA AWATAKA WAZAZI KUSHANGIA CHAKULA CHA WATOTO

Tarehe ya Kuwekwa: May 8th, 2024


Katibu Tawala wa Wilaya ya Songea Ndg. Mtela Mwampamba, amewaagiza watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule wote  kuhakikisha kwamba kila Mzazi anachangia gharama za chakula ili kumhakikishia mototo kupata chakula lakin pia kuwa na Lishe Bora.

Ndg. Mwampamba ameyasema hayo katika kikao cha Kamati ya Lishe kwa robo ya tatu, kwa mwakaa Fedha 2023/2024, kikao hicho kilichofanyoika katika ukumbi wa Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea, ambapo katibu tawala aliongoza kikao hicho kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya

Kikao hicho ambacho huratibiwa na Divisheni ya Afya, kwa kuambatata na wataalam wengine, ikiwemo watendaji wa kata zote 16 za Halmashauri ya Wilaya ya Songea.

“ Kama tulivyokubaliana ndugu zangu, kwenye maadhimio yetu. Azimio la kwanza ilikua lazima watendaji wa Kata na Kijiji wahakikishe  kwamba wazazi wote wanachanga chakula kwa ajili ya watoto. Hivyo watendaji waendelee na msimamo huu huu kuhakikisha kila mzazi amechanga”

“ elimu ya lishe bora na ulaji unaofaa indeekuolewa  kwa jamii kupitia Mikutano yote ya Hadhara,  Makongamano, Semina na Mashuleni pamoja na umuhimu wa kufanya mazoezi kwa jamii yetu yote. Mtela Mwampamba Katibu Tawala Wilaya ya Songea  

Aidha Mganga  Mkuu wa Halmashauri ya  Wilaya Songea Dr. Geofrey Kihaule katika kusisitiza umuhimu wa lishe alisema

“ Pamoja na hayo tuhakikishe tunafanya tathmini ya hali  ya lishe mara kwa mara ili kutokomeza maadui wa Lishe ambao ni Udumavu, Ukondefu, uzito uliozidi, Uzito pungufu na Utapiamlo.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • SONGEA DC YAHAMASISHA UMUHIMU WA LISHE BORA KWA WATOTO SHULENI

    November 27, 2025
  • FAHAMU KUHUSU BARAZA LA MADIWANI; MUUNDO NA UTENDAJIKAZI WAKE

    November 25, 2025
  • SONGEA DC, YATEMBELEA MIKOA INAYOLIMA KAHAWA KWA LENGO LA KUPATA UZOEFU

    November 19, 2025
  • DC NDILE AIPONGEZA HALMASHAURI YA SONGEA KWA KUIMARISHA HALI YA LISHE, ATOA WITO WA KUENDELEZA JITIHADA

    November 17, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa