• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

HALMASHAURI ya Wilaya ya Songea yapitisha makisio ya bajeti ya sh.bilioni 25.5

Tarehe ya Kuwekwa: February 7th, 2019

Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma imepitisha makisio ya bajeti ya shilingi billioni ishirini na tano na milioni miatano kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2019/2020.

Afisa mipango wa Halmashauri ya Wilaya Songea Richard Masesa amesema vyanzo vya mapato ya fedha hizo ni makusanyo ya mapato ya ndani,mishahara,ruzuku toka serikali kuu,na ruzuku ya fedha za miradi ya maendeleo.

Amesema Halmashauri inatarajia kutumia kiasi hicho cha fedha  katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo,maeneo ya ruzuku na yasiyo na ruzuku,aidha bajeti hiyo imepungua kwa asilimia 14.4 kwasababu ya ukomo wa bajeati ya maji kuondolewa.

Masesa ametaja vipaumbele  vya bajeti kuwa ni kukamilisha miradi viporo,kuajiri  watumishi 182,wakiwemo wakuu wa idara ya maji,afya,ujenzi na mipango,takwimu na ufuatiliaji,kuboresha na kuendeleza usafi wa mazingira,kupambana na utapia mlo,vipaumbele vingine ni ujenzi wa miundo mbinu ya elimu ya msingi na sekondari,ujenzi wa zahanati saba,kutengeneza madawati na viti kwa shule za msingi na sekondari pamoja na kutenga maeneo kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vidogo na vya kati

Amesema bajeti inaweza kuongezeka au kupungua kutokana na mchakato wa bajeti unavyo endelea hadi bunge litakapo tangaza bajeti ya serikali,mpango wa bajeti umeandaliwa kwa kuzingati sheria,miongozo na miongozo mbalimbali ya bajeti.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO October 12, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • SIKU CHACHE ZATOLEWA MIFUGO ILIYOINGIZWA KINYEMELA IONDOLEWE KIJIJI CHA LIANGWENI.

    November 23, 2023
  • MKUU WA MKOA RUVUMA; "VIONGOZI WA KIMILA TUMIENI MAMLAKA YENU KUDUMISHA MILA NA DESTURI ZETU".

    November 22, 2023
  • DKT. CHARLES MSONDE ARIDHISHWA NA UBORA WA UJENZI SEKONDARI MAPOSENI.

    November 22, 2023
  • Dkt. Kaijage aipongeza Awamu ya Sita kwa kuwajali Watumishi

    November 13, 2023
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa