Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Ndile ametembelea hospitali ya Halmashauri iliyopo Kata ya Mpitimbi na kuzungumza na watumishi wa hospitali hiyo.
Aidha, ameshiriki zoezi la upandaji miti katika hospitali ya Halmashauri.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa