UPUNGUFU wa watumishi wa Idara ya Mahakama unasababisha kesi kuchukua muda mrefu bila kutolewa hukumu na wakati mwingine upelelezi kuchelewa husababisha wadai haki kukata tamaa na wengine kufariki kabla ya hukumu kutolewa.Hayo yamesemwa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Songea Sekele Mushi wakati wa maadhimisho ya siku ya sheria ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa