• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

BARAZA LA Madiwani lapitisha Rasimu ya mpango na Bajeti ya Bilioni 31.6

Tarehe ya Kuwekwa: February 18th, 2022

Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya yaSongea Mkoani Ruvuma limepitisha Rasimu ya mpango na matumizi  wa bajeti  kiasi cha shilingi bilioni  31,695,165,245.85 kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

Akiwasilisha Rasimu hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Bi Neema Maghembe amesema chanzo cha fedha hizo kuwa mapato ya ndani,ruzuku toka Serikali kuu na wadau mbalimbali wa maendeleo.

Bi.Maghenbe amevitaja vipaumbele vya matumizi ya fedha hizo ni ujenzi na ukamilishaji wa  miradi ya maendeleo,matumizi ya mengineyo na mishahara ya watumishi.

Amesema Halmashauri itaendelea kuimarisha mazingira ya uwekezaji kwa kutenga maeneo ya uwekezaji,kuimarisha uzalishaji katika sekata ya kilimo hasa katika mazao ya kimkakati ambayo ni korosho,alizeti,soya,mahindi na ufuta kwakuwa kilimo ndio shughuli kuu ya kiuchumi katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea.

Bi.Maghembe ameongeza kwa kusema Rasimu hiyo imezingatia maelekezo yaliyoanishwa kwenye nyaraka muhimu za Serikali ambazo baadhi yake ni dira ya maendeleo ya Taifa ya 2025,Ilani ya Chama cha Mapinduzi  ya mwaka 2020,mapango wa Taifa wa miaka mitano 2021/2022-2025/2026,Maelekezo ya Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  aliyoyatoa  wakati anafungua bunge la 12 ,na Mpango mkamkati wa wa Halmashauri wa kipindi cha miaka mitano.

Bi.Maghembe ameongeza kwakusema kwa kipindi cha mwaka wa fedha cha 2021/2022 Halmashauri imepata mafanikioa makubwa baadhi ya mafanikio hayo ni ujenzi wa vyumba vya madarasa 65 kupitia mradi wa UVIKO-19 kwa Shule za Sekondari vyumba 46 naShule Shikizi za Msingi vyumba 19,urasimishaji wa viwanja 2500 katika eneo la Peramiho,utatutusi wa migogoro na utoaji wa mikopo kwa wanawake ,vijana na watu wenyeulemavu.

Bi.Maghembe amezitaja baadhi ya changamoto  zautekelezaji wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2021/2022 uwepo wa miradi viporo,fedha za ufuatiliaji na usimamizi kutokidhi mahitaji,fedha za miradi toka Serikali kuu kutofika kwa wakati au kuto fika kabisa na kuwepo kwa migogoro ya ardhi ya mipaka mashamba na viwanja.

Amesema Halmashauri imaejipanga vizuri kwa kushirikiana na wananchi na wadau wa maeandeleo kuhakikisha changamoto za migogoro zinapatiwa ufumbuzi Pia ufuatiliaji wa fedha za miradi toka Serikali kuu,na kuendelea kuimarisha mbinu na mikakati ya ukusanyaji wa mapato.

Imeandaliwa  na kuandikwa na

Jacquelen Clavery

Songea DC.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI KIMEMALIZIKA KWA KUWEKA MAKUBALIANO ENDELEVU KWA MASLAHI MAPANA YA NCHI

    May 24, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA, WANATEGEMEA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA NA UBINGWA BOBEZI KATIKA HOSPITALI YA HALMASHAURI SONGEA

    May 21, 2025
  • MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    May 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SONGEA DC, LIMEMSHUKURU MHE. RAIS NA WAZIRI WA AFYA KWA KUIHESHIMISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    April 29, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa