• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

WAKALA WA KUKUSANYA USHURU WA MAZAO NDANI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

06 January 2021

                                                                                              HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA                                                                                   

                      TANGAZO LA ZABUNI

                        ZABUNI NA.  LGA/102/2020/2021/NCS/01

01/01/2021

WAKALA WA KUKUSANYA USHURU WA MAZAO NDANI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

MWALIKO WA ZABUNI

Halmashauri ya Wilaya ya Songea inakusudia kuweka wakala wa kukusanya Ushuru wa Mazao ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea.

Halmashauri ya Wilaya ya Songea inapenda kuwaalika watu Binafsi, Makampuni, Ushirika, Taasisi au Vikundi vya watu vilivyosajiliwa kisheria, wenye nia na uwezo wa kufanya kazi hizo kutuma maombi yao kwa Zabuni hii.

Zabuni hii ipo wazi kwa wananchi na wakazi wote wa Tanzania na zitaendeshwa kwa mujibu wa sheria na kanuni za manunuzi ya Umma  (Bidhaa, ujenzi, huduma zisizo za kiushauri na uteketezaji wa mali chakavu za Umma kwa zabuni)  Sheria namba 07 (2011) na kanuni zake za mwaka,  2013 – G.No 446.

  • Wazabuni wote wanao kusudia kuomba zabuni hizi na walio na sifa zinazotakiwa wanaweza kufika na kupata taarifa zaidi pamoja na kukagua nyaraka za zabuni husika ofisini kwa katibu wa Bodi ya Zabuni ya Halmashauri kwa gharama zao wenyewe kuanzia jumatatu saa 2:00 asubuhi hadi saa 9:30  alasiri  siku za jumatatu hadi ijumaa isipokuwa siku za sikukuu tu.
  • Fomu maalum za maombi au nyaraka za zabuni zimeandaliwa kwa lugha ya Kiswahili na zinauzwa Tsh 100,000/=.  Kabla ya kuchukua fomu utapaswa kuleta barua kwa anuani tajwa hapo chini. Pesa ya maombi ya zabuni hazitarudishwa.
  •  Maombi yote yajazwe kwa makini na yaambatane na nakala mbili (original +  2 copies) na yafungwe vizuri kwa makini ndani ya bahasha kisha yatumwe kwa Katibu wa Bodi ya Zabuni, Halmashauri ya Wilaya ya Songea, S.L.P 995, Songea kabla ya tarehe 18 Januari, 2021  saa 4.00 asubuhi.  Zabuni zitafunguliwa siku hiyo hiyo saa 4.30 asubuhi mbele ya  waombaji  wote/wawakilishi  wao  watakaopenda  kuhudhuria  katika tafrija ya ufunguzi itakayofanyika katika Ofisi za manunuzi.
  •  Juu ya bahasha iandikwe: Uwakala wa kukusanya Ushuru wa Mazao ndani ya Halmashauri    ya Wilaya ya Songea, ZABUNI NA. LGA/102/2020/2021/NCS/01
  •  Zabuni  zitakazo  chelewa  kufika  kwa  muda  uliopangwa,  sehemu  ya  Zabuni  zitakazo tumwa kwa njia ya electronic, eg fax, e: mail nk, zabuni ambazo hazikufunguliwa siku ya ufunguzi na zabuni ambazo hazikupokelewa hazitakubaliwa kufanyiwa tathmini bila kujali mazingira yeyote.
  •  Halmashauri haitalazimika kugawa zabuni yeyote kwa mtu yeyote aliyefanyiwa tathmini na kuonekana ndiye aliyetaja kiwango cha juu au cha chini cha pesa.
  • Tathmini itazingatia vigezo vyote vilivyopo kwenye nyaraka ya zabuni, pamoja na bei kulingana na bajeti ya Halmashauri.
  • Mzabuni mwenye mashauri ya aina yoyote na Halmashauri yoyote hatakuwa na sifa ya kupewa zabuni hii.
  • Mzabuni ambaye alishawahi  kutunukiwa  zabuni  ya  aina  yoyote  na  Halmashauri  au  Taasisi  yoyote ya Serikali lakini akashindwa kutimiza masharti ya Zabuni au kuvunja mkataba atakuwa amepoteza sifa ya kupewa Zabuni hii.

NB:  Mshindi wa Zabuni hii atakabidhiwa  mashine za kukusanyia mapato (POS) na sheria ndogo ndogo za Halmashauri na makusanyo yote yatawasilishwa benki kwa Mujibu wa makubaliano yaliyowekwa kati ya pande mbili za Mkataba na Mzabuni atalipwa kamisheni kutoka katika makusanyo aliyowasilisha.

Simon M. Bulenganija

MKURUGENZI MTENDAJI (W)

SONGEA

 

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI KIMEMALIZIKA KWA KUWEKA MAKUBALIANO ENDELEVU KWA MASLAHI MAPANA YA NCHI

    May 24, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA, WANATEGEMEA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA NA UBINGWA BOBEZI KATIKA HOSPITALI YA HALMASHAURI SONGEA

    May 21, 2025
  • MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    May 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SONGEA DC, LIMEMSHUKURU MHE. RAIS NA WAZIRI WA AFYA KWA KUIHESHIMISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    April 29, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa