TANGAZO LA VITAMBULISHO
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauariya Wilaya ya Songea anawatangazia wajasiriamali na watoa huduma wadogo wadogo wahakikishe wanavitambulisho vya wajasiriamali vilivyotolewa na Serikali ,ifikapo Desemba 31 ,2020 msako mkali utafanyika kibanda kwa kibanda atakayebainika hana kitambulisho hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.
“TII SHERIA BILA SHURUTI”
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa