JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji, P. o.box 995, Songea.
Simu: 2602320, Fax: 2602320, Email:ded@songeadc.go.tz , website: www.songeadc.go.tz
TANGAZO LA NAFASI WAZI YA MWENYEKITI WA KITONGOJI
KWA MUJIBU WA KIFUNGU CHA 46 CHA KANUNI ZA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA NGAZI ZA VIJIJI ,VITONGOJI NA MITAA ZA MWAKA 2019, MSIMAMIZI WA UCHAGUZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA ANAWATANGAZIA WANANCHI WA KATA YA LILAHI KIJIJI CHA MUHUKURU LILAHI KITONGOJI CHA OFISINI KUWA KUNA NAFASI WAZI YA MWENYEKITI WA KITONGOJI CHA OFISINI BAADA YA MWENYEKITI WA KITONGOJI HICHO KUFARIKI. KWAHIYO TUNATARAJIA KUFANYA UCHAGUZI MDOGO KWA AJILI YA KUJAZA NAFASI HIYO WAZI YA MWENYEKITI WA KITONGOJI CHA OFISINI
NEEMA .M.MAGHEMBE
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI
HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA
RATIBA YA YA UCHAGUZI MDOGO KATIKA KIJIJI CHA MUHUKURU LILAHI KATA YA MUHUKURU LILAHI KITONGOJI CHA OFISINI ITAKUWA KAMA IFUATAVYO;
Na
|
TUKIO
|
TAREHE
|
MHUSIKA
|
1
|
Tangazo la Nafasi wazi la Mwenyekiti wa Kitongoji
|
02 Septemba, 2021
|
Msimamizi wa uchaguzi
|
2
|
Uteuzi wa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi na Wasimamizi wa Vituo
|
21-27Septemba ,2021
|
Msimamizi wa uchaguzi
|
3
|
Kuchukua fomu za Kugombea
|
07 Oktoba, 2021
|
Msimamizi Msaidizi wa uchaguzi
|
4
|
Kurejesha Fomu za Kugombea
|
07 Oktoba - 13 October, 2021
|
Msimamizi Msaidizi wa uchaguzi
|
5
|
Uteuzi wa Kamati ya Rufani
|
06 Oktoba ,2021
|
Katibu Tawala Mkoa
|
6
|
Uteuzi wa Wagombea
|
13 Oktoba, 2021
|
Msimamizi Msaidizi wa uchaguzi
|
7
|
Uwasilishaji wa Pingamizi kuhusu Uteuzi wa Wagombea
|
13-14 Oktoba, 2021
|
Mwombaji/Mgombea
|
8
|
Uamuzi wa Pingamizi Kuhusu uteuzi wa Wagombea
|
13-15 Oktoba, 2021
|
Msimamizi Msaidizi wa uchaguzi.
|
9
|
Kukata rufaa dhidi ya Uamuzi kuhusu Pingamizi la Uteuzi
|
13-16 Oktoba, 2021
|
Mwombaji /Mgombea/Msimamizi wa Uchaguzi.
|
10
|
Uamuzi wa Kamati ya Rufaa
|
13-17 Oktoba 2021
|
Kamati ya Rufani
|
11
|
Uwasilishaji wa Ratiba za Mkutano ya Kampeni kutoka katika vyama vya Siasa
|
18 Oktoba , 2021
|
Vyama vya Siasa /Msimamizi wa Uchaguzi
|
12
|
Uwasilishaji wa Ratiba za Mikutano ya Kampeni kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya
|
23 Oktoba ,2021
|
Msimamizi wa uchaguzi
|
13
|
Tangazo la Uchaguzi kwa Umma
|
25 Oktoba 2021
|
Msimamizi wa uchaguzi
|
14
|
Kuanza kwa Kampeni
|
25-31Oktoba 2021
|
Msimamizi wa uchaguzi
|
15
|
Siku ya Uchaguzi
|
02 Novemba, 2021
|
Msimamizi wa Uchaguzi
|
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa