Ratiba ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka, 2020 Tukio Tarehe Idadi ya Siku
1.
Uteuzi wa Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani
25 Agosti 2020
Siku 25 toka kuvunjwa kwa Bunge
2.
Kampeni za Uchaguzi
26 Agosti 2020 hadi tarehe 27 Oktoba 2020
Siku 63 baada ya uteuzi
3.
Siku ya Kupiga Kura
28 Oktoba 2020 (siku ya Jumatano)
2
Ratiba ya Utekelezaji wa Shughuli za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 NA. MAELEZO TAREHE MHUSIKA
1.
Mafunzo kwa Waratibu wa Uchaguzi na Wasimamizi / Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo
27 – 29 Julai, 2020
01- 03 Agosti, 2020
Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi
2.
Mapokezi ya vifaa vya Uteuzi wa Wagombea Ubunge na Udiwani na Mafunzo kwa ARO-Kata awamu ya kwanza
26 Julai- 05 Agosti, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi
3.
Mafunzo kwa Maafisa TEHAMA wa Halmashauri kuhusu Mfumo wa Uteuzi wa Wagombea (CMS)
Agosti, 2020
Idara ya Daftari na TEHAMA 4. Kipindi cha ajira za Waratibu wa Uchaguzi, Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi 05 Agosti – 02 Novemba, 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi/ Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi 5. Utoaji wa fomu za Uteuzi kwa wenye nia ya kugombea Kiti cha Rais na Makamu wa Rais 05 - 25 Agosti, 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi/ Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi 6. Mafunzo kwa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi Kata 07 - 09 Agosti, 2020 Wasimamizi wa Uchaguzi/ Idara ya Usimamizi Uchaguzi 7. Utoaji wa fomu za Uteuzi kwa wenye nia ya kugombea Ubunge na Udiwani 12 - 25 Agosti, 2020 Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata 8. Kuwapatia wagombea wote akaunti za kuweka fedha za dhamana ya wagombea 12 – 25 Agosti, 2020 Wasimamizi wa Uchaguzi/ Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi
9.
Wasimamizi wa Uchaguzi kuvitaarifu Vyama vya Siasa kuwasilisha ratiba zao za Kampeni za Wagombea
16 - 17 Agosti, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi
10.
Kuunda Kamati za Maadili ya Uchaguzi
18-24 Agosti, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi
3
NA. MAELEZO TAREHE MHUSIKA
11.
Uundaji wa Kamati ya uratibu wa Kampeni za Uchaguzi wa Ubunge na Udiwani
23- 24 Agosti, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi 12. Uteuzi wa Wagombea Kiti cha Rais/ Makamu wa Rais, Ubunge na Udiwani 25 Agosti, 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi/ Idara ya Usimamizi Uchaguzi/ Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi 13. Kupokea Pingamizi dhidi ya Uteuzi wa Wagombea Ubunge na Udiwani 25 - 26 Agosti, 2020 Kitengo cha huduma za Sheria/ Wasimamizi wa Uchaguzi 14. Wasimamizi Wasaidizi ngazi ya Kata kuwasilisha Fomu za Uteuzi wa Wagombea Udiwani kwa Wasimamizi wa Uchaguzi 26 - 27 Agosti,2020 Wasimamizi Wasaidizi ngazi ya Kata/ Wasimamizi wa Uchaguzi 15. Kushughulikia pingamizi dhidi ya Uteuzi wa Wagombea Ubunge na Udiwani 26 - 28 Agosti, 2020 Wasimamizi wa Uchaguzi 16. Kuingiza taarifa za Wagombea kwenye mfumo wa Candidate Management System 26 – 28 Agosti, 2020 Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi 17. Kampeni za Uchaguzi 26 Agosti, - 27 Oktoba, 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi/ Wasimamizi wa Uchaguzi na Idara ya Usimamizi Uchaguzi na Kitengo cha Huduma za Sheria
18.
Muda wa Kamati za Maadili ya Uchaguzi
26 Agosti - 27 Oktoba, 2020
Kitengo cha Huduma za Sheria
19.
Kuratibu Kampeni za Uchaguzi
26 Agosti - 27 Oktoba, 2020
Mkurugenzi wa Uchaguzi/ Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi wa Uchaguzi
20.
Wasimamizi wa Uchaguzi kuwasilisha Tume Fomu za Uteuzi wa Wagombea Ubunge na Udiwani
29 Agosti - 02 Septemba, 2020
Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi/ Idara ya Daftari na TEHAMA
21.
Kupokea fomu za Uteuzi kutoka kwa Wasimamizi wa Uchaguzi
29 Agosti - 02 Septemba, 2020
Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi
4
NA. MAELEZO TAREHE MHUSIKA
22.
Kutangaza nafasi za Wasimamizi, Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo, Makarani Waongozaji Wapiga Kura na kupokea barua za maombi yao
21 - 27 Septemba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi
23.
Kuchambua waombaji wa nafasi za Wasimamizi, Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo na Makarani Waongozaji Wapiga Kura (Shortlisting)
28 Septemba – 08 Oktoba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi
24.
Mkutano wa Tume na Waratibu wa Uchaguzi wa Mikoa na Wasimamizi wa Uchaguzi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa
Septemba, 2020
Tume na Waratibu wa Uchaguzi wa Mikoa, Wasimamizi wa Uchaguzi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa
25.
Mkutano wa Tume na Waratibu wa Uchaguzi wa Mikoa, Wasimamizi wa Uchaguzi, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Tanzania Bara
Septemba, 2020
Tume na Waratibu wa Uchaguzi wa Mikoa, Wasimamizi wa Uchaguzi, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Tanzania Bara
26.
Mkutano wa Tume na Vyama vya Siasa, Waratibu wa Uchaguzi wa Mikoa na Wasimamizi wa Uchaguzi
Septemba, 2020
Tume na Waratibu wa Uchaguzi wa Mikoa, vyama vya siasa na Wasimamizi wa Uchaguzi
27.
Kupokea Vifaa vya awamu ya II
Septemba 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi
28.
Kupata Walinzi wa Vituo vya Kupigia Kura
05 - 15 Oktoba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi
29.
Kukagua na kuandaa Vituo vya Kupigia Kura (Ni muhimu kuvitembelea na kuvifahamu vituo)
09 - 18 Oktoba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi
30.
Kuchambua na kupanga vifaa vya kupigia kura kwa kila kituo
09 - 20 Oktoba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi
31.
Kikao cha Tume na Waratibu wa Uchaguzi wa Mikoa na Wasimamizi wa Uchaguzi
Oktoba, 2020
Tume na Waratibu wa Uchaguzi wa Mikoa na Wasimamizi wa Uchaguzi
5
NA. MAELEZO TAREHE MHUSIKA
32.
Kupokea Vifaa vya awamu ya III
Oktoba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi
33.
Uteuzi wa Wasimamizi/Wasimamizi Wasaidizi wa vituo na Makarani Waongozaji Wapiga Kura
10 - 17 Oktoba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi
34.
Vyama vya siasa kupatiwa Orodha ya Vituo vya Kupigia Kura
13 - 14 Oktoba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi
35.
Kutaarifu vyama vya siasa kuwasilisha majina ya Mawakala wa Upigaji Kura
15 Oktoba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi
36.
• Kutoa Tangazo la Uchaguzi (Notice of Election) kwa kubandika Makao Makuu ya Halmashauri, kwenye Kata, na kwenye vituo vya Kupigia Kura
• Kubandika mabango, orodha ya Wapiga kura, mfano wa Karatasi za Kura na Bango la Hadhari na Maelekezo ya Mpiga Kura (siku 8 kabla ya Upigaji Kura)
18 - 19 Oktoba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi
37.
Mafunzo kwa Maafisa TEHAMA wa Halmashauri kuhusu Mfumo wa Matokeo (RMS)
19 – 21 Oktoba, 2020
Idara ya Daftari na TEHAMA
38.
Mawakala wa Vyama vya Siasa pamoja na Mawakala mbadala kula kiapo cha kutunza siri mbele ya Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi kwenye Kata siku 7 kabla ya Siku ya Uchaguzi
21 Oktoba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi
39.
Kugawa nakala za Maelekezo kwa Mawakala wa Vyama vya Siasa
21 Oktoba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi
40.
Kuandaa orodha na utambulisho wa Mawakala wa vyama vya siasa
22 - 24 Oktoba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi
6
NA. MAELEZO TAREHE MHUSIKA
kwa ajili ya vituo vya kupigia kura
41.
Mafunzo ya Makarani Waongozaji Wapiga Kura na kula kiapo cha kutunza siri na kujitoa Uanachama wa Chama cha Siasa
24 Oktoba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi/ Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi 42. Mafunzo kwa Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo na kula kiapo cha kutunza siri na kujitoa Uanachama wa Chama cha Siasa (inasisitizwa mafunzo yakamilike tarehe 26 Oktoba, 2020) 25 –26 Oktoba, 2020 Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi/ Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi
43.
Kuvitaarifu vyama vya Siasa mahali pa kujumlishia kura
25 - 27 Oktoba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi
44.
Kugawa vifaa vya Uchaguzi, utambulisho wa Mawakala pamoja na kuwasafirisha Wasimamizi wa vituo na vifaa vya Uchaguzi kwenda kwenye vituo vya Kupigia Kura.
27 Oktoba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi
45.
Kuwasiliana kwa njia ya haraka mfano simu na Waratibu wa Uchaguzi na Wasimamizi wa Uchaguzi kuhakikisha maandalizi ya Uchaguzi yamekamilika tayari kwa Uchaguzi
27 Oktoba, 2020
Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi Uchaguzi UchaguziUchaguzi 46. Siku ya Uchaguzi 28 Oktoba, 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi/ Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi
47.
Wasimamizi wa Uchaguzi kuingiza matokeo ya Uchaguzi kwenye Mfumo wa Matokeo (RMS)
28 – 29 Oktoba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi/ Idara ya Daftari na TEHAMA/ Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi
48.
Kusafirisha masanduku ya Kura, Fomu na vifaa vya Uchaguzi wa Rais, na
28 - 30 Oktoba, 2020
Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi/ Wasimamizi Wasaidizi wa
7
NA. MAELEZO TAREHE MHUSIKA
Wabunge kutoka vituoni kwenda Makao Makuu ya Halmashauri.
Kusafirisha masanduku ya Kura, Fomu na vifaa vya Uchaguzi wa Madiwani hadi Makao Makuu ya Kata.
Uchaguzi
49.
Kujumlisha Kura za Uchaguzi wa Rais na Wabunge – Makuu ya Halmashauri
Kujumlisha Kura za Uchaguzi wa Madiwani Makao Makuu ya Kata
29 - 30 Oktoba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi
50.
Kutangaza matokeo ya Uchaguzi wa Wabunge na Madiwani kwenye Majimbo na Kata
29 - 30 Oktoba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi
51.
Kutuma Tume na kupokea Matokeo ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani
29 - 31 Oktoba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi/ Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi na Idara ya Daftari na TEHAMA
52.
Kupokea na kutangaza matokeo ya Uchaguzi wa Rais kwa kila Jimbo
29 Oktoba - 01 Novemba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi/ Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi na Idara ya Daftari na TEHAMA
53.
Kuwasilisha Tume Fomu za Matokeo ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani
30 Oktoba - 03 Novemba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi/ Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi/ Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi
54.
Kuandaa nyaraka za Matumizi ya fedha na kuziweka tayari kwa Ukaguzi
03 - 10 Novemba, 2020
Wasimamizi wa Uchaguzi
55.
Kuwasilisha Tume Taarifa ya Matumizi ya fedha za Uchaguzi
12 - 16 Novemba, 2020
Waratibu wa Uchaguzi wa Mikoa/ Wasimamizi wa Uchaguzi, Uhasibu na Ukaguzi na Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa