MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUJITOKEZA KATIKA MAPOKEZI YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU SIKU YA ALHAMISI TAREHE 26/09/2019, KATIKA KIJIJI CHA KIZUKA KATA YA KIZUKA NA KUSHIRIKI KATIKA MKESHA WA MWENGE KATIKA KIJIJI CHA PARANGU KATA YA PARANGU SIKU HIYO HIYO.
KAULI MBIU:
‘‘MAJI NI HAKI YA KILA MTU TUTUNZE VYANZO VYAKE NA TUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2019”
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa