Tarehe ya Kuwekwa: September 28th, 2022
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mheshimiwa Menasi Komba amezindua maadhimisho ya siku ya wazee duniani tarehe 27 Septemba 2022 ambayo kilele cha maadhimisho hayo ni tarehe 1 Octoba 2022....
Tarehe ya Kuwekwa: September 21st, 2022
VIONGOZI wa Chama kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Songea wakiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe.Menasi Komba na Timu ya wataalamu wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Neema Maghe...
Tarehe ya Kuwekwa: September 20th, 2022
HALMASHAURI ya Wilaya ya Songea imefanya ziara ya mafuzo ya uchimbaji wa madini mkoani Geita tarehe 19 Septemba 2022.
Ziara hiyo imeudhuriwa na Viongozi wa Chama wakiongozwa na Mwenyekiti wa ...