Tarehe ya Kuwekwa: January 13th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Songea imepokea mbegu za alizeti kwaajili ya kupanda katika mashamba ya shule kutoka kwa Mbuge wa Jimbo la Peramiho Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama.
Zoezi la ugawaji wa m...
Tarehe ya Kuwekwa: January 13th, 2023
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Ndugu Neema Maghembe ameongoza zoezi la ugawaji vishikwambi kwa walimu wa shule za msingi na sekondari zilizopo Songea vijijini.
Zoezi hilo li...
Tarehe ya Kuwekwa: January 13th, 2023
MRATIBU wa TASAF Wilaya Bi Hossana Ngunge amefanya ufuatiliaji wa ujenzi wa miradi ambayo inatekelezwa na mfuko wa maendeleo ya jamii wa TASAF.
Ufuatiliaji huo umefanyika katika kijiji cha Mdunduwa...